Skip to main content

Posts

Showing posts from June 15, 2020

ADONIS NEW PRODUCTS

Je! Umewahi kuhisi kulazimishwa kushiriki neno la Mungu na rafiki, mwanafunzi mwenzako, ndugu, jirani, au mpita njia afu ukakaa ukijiuliza mwenyewe kwasababu gani inakuwa hivi? Mr Adonis Vitabu vya dini vinatuambia tusiogope wanadamu, lakini wengi wetu kila wakati bado tunaogopa kwa hofu ya kushiriki imani yetu. Hapa FASHION KITAA, tunataka iwe rahisi kwa kila mtu kutangaza imani yake na kueneza neno la Mungu kila mahali. FASHION KITAA inataka kuja na bidhaa nyingi za nguo zenye maneno kamili ya Mungu. Kwahiyo unachohitajika kufanya ni kuivaa. Itatoa Tshirts, Jeans na bidhaa za familia nzima. Neno la Mungu liko hai tulitangaze daima. Kwa taarifa zaidi tembelea kurasa zetu za instagram @fashionkitaatz  Tunapokea maswali, ushauri na maoni, Asante.